Shirikisho la soka barani Africa CAF umeamua kuindoa kwenye uanachama wa shirikisho hilo la mpira wa miguu Africa, kutokana na kutokua na vigezo vya kuwa mwanachama. Akiongea Rais wa shirikisho hilo Ahmad Said kuwa Zanzibar hawawezi kuwa wanachama kwasababu wapo ndani ya Tanzania na sio Nchi tegemezi, endapo wangekua Nje ya Tanzania au kisiwa huru hakika wangestahili kuwa wanachama
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.