June 20, 2018

JUMA KASEJA HURU KUSAINI KOKOTE

          

Golikipa wa mda mrefu katika Ligi kuu Tanzania bara Juma kaseja kwasasa yupo huru kusaini klabu yeyote atakayopenda.Juma Kaseja kwasasa unaweza kusema ni mchezaji huru baada ya kushindwa kuendelea na waajiri wake Kagera Suger,Kaseja alitakiwa aendelee na klabu hiyo iliopo mkoani  Kagera kwa msimu ujao lakini wameshindwana baada yakushindwa kutekeleza mahiaji aliowapa Kagera hivyo klabu imempa ruhusa ya kujiunga na klabu atakayopenda kwenda

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.