Wananchi wenye hasira Kali wamechoma moto Kanisa la Jesus is the Living stone Kwa madai linaleta mapepo.
Kanisa hilo ambalo lipo katika mji wa Kanyogoga Wilayani Gulu nchini Uganda limekabiliwa na zengwe la mara Kwa mara ikiwemo kufungiwa na Serikali.
Wakiongea Kwa nyakati tofauti Kwa njia ya simu Wananchi wa Gulu wameiambia Mtu mweusi gospel kuwa Kanisa hilo linaleta mapepo tulipohoji mapepo hayo yamekuwa yakiwawakera wanainchi ama kuwadhuru hawakuwa na maelezo sahihi, mpaka sasa watu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la polisi katika kituo Kikuu cha Polisi mjini Kanyogoga
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.