Usiku wa julai 21 Genk ilikuwa uwanja wa ugenini kuikabili timu ya Buducnost kwenye michuano ya kupangwa makundi ya michuano ya Europa League katika mchezo uliomalizika kwa Genk kufungwa 2-0 ilibidi uamuliwa kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 30 za nyongeza kumalizika kwa matokeo ya 2-0 yalio sababisha matokeo kuwa 2-2
Ikumbukwe mchezo wa awali Genk ilioshinda nyumbani goli 2-0 wakati huo goli la pili likifungwa na capten wa timu ya Taifa Tanzania Mbwana Samatta.kwa mchezo huo wa jana Samatta alicheza dakika zote 120 sasa Genk itakutana na timu ya Cork City kutoka nchini Ireland
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.