Hatimae ile kauli ya mwomba Mungu hachoki imejidhihirisha kwa aliyekua mbunge wa jimbo la VUNJO ndugu Agustino Lyatonga mrema hatimae leo Rais JPM amemteuwa kuwa mwekiti wa bodi ya Parole.Uteuzi huo umeanza leo tarehe 16july kwa muda wa miaka mitatu.
katika uteuzi huo amewapandisha vyeo baadhi ya Askari polisi maswali mengi yakiwa yamejaa vichwani mwa watu kuwa inawezekana Rais alisikia kilio cha mbunge huyo wa zamani wa jimbo la vunjo alipopaza sauti kuwa mh.Rais naomba kazi yeyote nipo tayari kufanya wengine wakijiuliza ama mh. Rais amelipa fadhila za kupigiwa kampeni kipindi cha uchaguzi alipotembelea jimboni kwake vunjo, watu walienda mbali nakudai kuwa JPM ameamua kuwakumbuka watu ambao walijitoa kwa kulitumikia Taifa hili
Mtu mweusi ilimtafuta Mwenyekiti huyo mpya wa Parole kwa lengo lakutaka kujua amelipokeaje jambo hilo la uteuzi juu yake, kuna usemi unasemaga kuwa kama unapumzi amini utapata usikate tamaa
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.