August 31, 2017

MAKONGORO MAHANGA AKAMATWA

Aliekua Mbunge wa Ukonga Segerea Makongoro Mahanga amekamatwa na jeshi lapolisi na kufikishwa Mahakamani. Mahakama iliamuru Makongoro amlipe mdeni wake ambae alikuwa amemshitaki na hatimae Mahakama iliamuru imlipe Milioni14. Lakini Mahanga hakufanya hivyo na hatimae leo Mahakama imetoa agizo la kukamatwa kwake

August 30, 2017

RAIS MAGUFULI ASITISHA KUBOMOLEWA KWA NYUMBA 17000

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Pombe Magufuli amesikitishwa na tamko
lililotolewa hapo jana na Mamlaka ya mazingira NEMC Rais Magufuli amesema yeye hakuchaguliwa kuja kubomoa majumba ya watu naomba wasitishe zoezi hilo.

JE CLOUDS MEDIA WANAHUSIKA NA BIFU LA ALI KIBA NA DIMOND?

Watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini Ali kiba amekua akipewa Airtime mara nyingi ya kupigwa nyimbo yake mpya wakati Dimond nayeye ametoa nyimbo yake akishirikiana na ALL  WCB kama haitoshi kipindi cha Xxl kinachorushwa kila saa Saba za mchana hadi saa kumi jioni kulipiga nyimbo ya Fid Q aliomshirikisha Dimond lakini ikifika sehemu alioimba Dimond wanakata. Haya yalikua ni maswali ya Zombola kweka shabiki wa Dimond platnum

MAJAMBAZI WATEKA GARI MBEYA

Majambazi walitokea basi lililokua likitoka Chunya kwenda Mjini Mbeya. Katika gari hilo lilibeba abiria na kukiwemo na madiwani waliokua wakielekea kwenye Vikao vya Maendele Mbeya  hatimae majambazi hao wali waamuru abiria wote watowe kila walichokuanacho na kutokomea navyo kusikojulikana

August 29, 2017

HAKI ZA BINA DAMU WAUNGANA NA MAWAKILI

Haki za binadamu Nchini leo hii wameungana na Mawakili kupinga Shambulio la bomb katika ofisi za IMMMA ADVOCATE  Akiongea mkurugenzi Shirika hilo Bi Simba ameeleza hii ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu.

WAFUNGWA KUPEWA AJIRA KWA MIKATABA

Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu Lameck Mchemba ameagiza vyombo vya ulinzi Nchini kuwatumia Wafungwa wenye taaluma katika kazi za maendeleo na uzalishaji kwani ni bora kwa wafungwa wenye tabia njema na wale ambao wamejirekebisha tuwatumie kuwapa kazi kwa mikataba kuliko kuwarudisha uraiani ambako watakuwa hawana mitaji mwishowe wanaweza wakarudia na tabia chafu zilizo waweka Jela. Mwigulu ameongea hayo katika Ufunguzi wa Nyumba tano Mkoani Arusha ambazo zimejengwa na Askari Magereza kushirikiana na Wafungwa  Waziri amesema kupitia Jeshi la Magereza watakujengea Nyumba kwa bei ndogo tofauti na kuchukuwa Mainjinia wa nje ya Magereza.

August 28, 2017

WATU 6 WAFARIKI AJALI YA ROLI SINGIDA

Ajali ya  Roli ya sababisha vifo vya watu 6 na majeruhi katika ajali hiyo kulikuwa na wananchi waliokua wakienda mnadani chanzo cha ajali inaripotiwa dereva alikuwa anamkwepa dereva wa boda boda akapelekea kusababisha ajali hiyo

NYUMBA 17000 KUBOMOLEWA MTO MSIMBAZI

Serikali imesema itazibomoa NYUMBA takribani 17000 zilizopo katika mto Msimbazi hivyo kuwataka waliojenga kinyume na utaratibu wa mazingira kupitia bonde hilo watambuwe zoezi la ubomoaji linaendelea

JESHI LA POLISI LATOA CHANZO CHA MLIPUKO IMMMA ADVOCATE

Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar Es Salaam imetoa ufafanuzi kilichosababisha kulipuliwa kwa Ofisi za Wanasheria. Agost 26/17 kulitokea na mlipuko katika Ofisi hizo na uchunguzi ukawa unaendelea hatimae leo Jeshi la polisi limeeleza kuwa usiku wa tukio kuna watu walifika katika eneo hilo wakiwa na gari mbili nakuwakamata walinzi nakuwaingiza kwenye gari hatimae wakaingia nakuweka milipuko iliotengenezwa kienyeji. Kutoka na upelelezi ulioendeshwa na Jeshi la polisi ulifanikiwa kuwakuta walinzi ambao walitekwa maeneo ya Kawe wakiwa hawajitambuwi

August 26, 2017

Mtoto wa miezi 6 Afanyiwa Ukatili jina la mtoto tumelihifadhi kimaadili Familia nyingi zimeingia katika unyanyasaji wa kijinsia. Tathimini inaeleza hii inatokana Wababa wengi wameanzisha mahusiano nje ya ndoa zao na kupelekea kuleta mgongano kati ya Mke wa ndoa na kimada. Mume hupelekea kumuacha mkewe mwishowe anaangukia kwa kimada anamuacha mke na kimada anakuja kuishi kama mke ndipo hapo kimada anakuta watoto wa mke wa ndoa. Kwakua hawakuwa wanaelewana na mama yao hasira huamishia kwa watoto hivi ndivyo Wanaume wengi wanachangia kunyanyasika kwa watoto.

SHALOOM TAILORING GOMS

Washonaji wa mitindo yote sasa wanapatikana Gongo lamboto Vaa vazi ulipendalo kutoka SHALOOM TAILORING GOMS Wamebobea kwenye ushonaji sare za harusi Suti kali mishono ya kisasa usihangaike tena wapigie+255 716773020

August 25, 2017

YUSUPH MANJI AKUTWA NA HATIA

Mfanya biashara Yusuph Manji akutwa na hatia na Mahakama kuu Akizungumza Jaji Siprian kuwa katika vipimo vimeonesha Mkojo wake kukutwa na Madawa aina ya Heroin na Mahakama kumtiawhatiani na kesi yake itasikilizwa tena Agost 30 na 31 kwa mfululizo pia Ana haki ya kujitetea kutoka na hatia aliokutwa nayo

RAIS MAGUFULI AVUKA NA PANTONI KWENDA KIGAMBONI

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John pombe Magufuli leo amevuka boda ya Feri kuelekea kigamboni kwa kutumia kivuko cha wananchi akiongea katika soko la feri amesema ameamua leo kutembelea hapa kwani hawa ni majirani zangu pia Rais amepata wasaa wa kubadilishana mawazo na wananchi waliojitokeza katika eneo hilo

August 24, 2017

MAGAZETI YA LEO AGOST 25/2017

Habari za magazetini Mtu mweusi blog inahakikisha hupotwi na habari zote za wiki kupotia Blog yako pendwa

TUNDU LISSU AACHIWA KWA DHAMANA

Mwanasheria wa Chadema na Mbunge Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi toka tarehe 22/8/2017 kwa tuhuma za kumchafua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John pombe Magufuli

SHABIKI WA SIMBA AFARIKI KWA FURAHA

Kijana mmoja alietambulika kwa jina moja tu PASTORY Amezikwa leo baada ya kukutwa na umauti uliosababishwa na ushabiki wa mpira pastory alikuwa akiangalia mpira uwanja wa Taifa wakati wakupigwa penati alikua amekaa na shabiki wa yanga wakaanza kubishana kuwa Niyonzima lazima afunge yule shabiki wa Yanga alisema Niyonzima hawezi kufunga kwasababu Niyonzima katokea Yanga alipo piga Niyonzima akafunga tena goli zuri ndipo Pastory akapata mshtuko kwa furaha akapoteza fahamu mwishowe kufariki Dunia Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe

USIHANGAIKE TENA NA WASUSI

Kwa mahitaji bora ya urembo wako basi usihangaike tena wapo wasusi wenye hitaji la Moyo wako hapa utasukwa mitindo yote Pia tuna pamba Maharusi bei zetu ni nafuu kabisa ila utafurahia huduma zetu kwa mawasiliano tupigie 071933302 wote mnakaribishwa

August 23, 2017

MAGAZETI YA LEO AGOST 24/2017

Usikose ku SUBSCRIBE kwenye ukurasa wetu wa YouTube kwa kuandika mtu mweusi blog, mtu mweusi gospel

August 22, 2017

MAGAZETI YA LEO AGOST 23/2017

Usipitwe na habari za magazeti kila siku pi usikose ku Subscribe ukurasa wetu wa YouTube kwakuandika
Mtumweusi blog
Mtumweusi gospel
Hapo utajipatia nyimbo mpya wasanii wa Gospel