August 22, 2017

YANGA ITAWAKOSA HAWA KESHO

Klabu ya Yanga imethibitisha kuwakosa wachezaji wao Muhimu watatu katika mchezo wa kesho dhidi ya watani wao Simba utakao pigwa katika Uwanja wa Taifa majira ya saa 11 Jioni. Mchezo huu ni wakuwania Ngao ya Hisani ambao unaambatana na Ufunguzi wa Msimu mpya wa ligi Tanzania bara wachezaji ambao Yanga watawakosa ni kila
#BenoKakolanya
#Mwashiuya
#ObeidChirwa
Kwa mujibu wa Daktari hawatakuwepo kwenye mchezo wa kesho kutoka na kusumbuliwa na Majeraha.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.