Majangiri wa Faru wamekutwa wameliwa na Simba hadi kufa katika mbuga ya Sibuya
nchini Afrika ya Kusini msimamizi wa. mbuga hiyo amesema tulikuwa miili miwili. ikiwa imeharibiwa na Simba tunaamini ni Simba ndio waliowaua kwani msitu huu umejawa na Simba kuliko wanyama wengine.Aliongeza majangiri hawa walipotea kwani walijuwa kuingia katika mbuga hii wangekuta Faru.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.