Mwimbaji kutoka kundi la saut sol kutoka nchini Kenya amekumbwa na kashifa ya kujiusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga alipohojiwa alidai hajawahi kujiusisha na mapenzi ya jinsia moja na ninachukia wanaofanya tabia hiyo Kunawakati Naweza piga picha watu wakahisi nimeweka pozi kama mwanamke lakini si Kweli kuwa ninajihusisha mimi na Mwogopa Mungu, alisema kwa picha hii msomaji wa mtu mweusi blog utapata jibu ya maelezo endelea kufuatilia blog yako pendwa ya mtu mweusi blog
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.