Mtu mmoja asiye fahamika amekufa kwa.....................
kugongwa na gari akiendesha baiskeli nawengine abiria zaidi ya kumi wakijeruhiwa katika ajali hiyo wakitokea Peramiho. Mashuhuda wa tukio hilo wamesema chanzo ni mwendo kasi uliomshinda dereva huyo nakusababisha kifo cha mwendesha baiskeli huyo nakusababisha kifo chake.nkujeruhi mwendesha boda boda alie lazwa katika hospital ya mkoa wa Ruvumakutokana kutokea kwa ajali eneo hilo la daraja la Mkomi wanainchi wameiomba Serikari kuweka matuta ili kudhibiti madereva wanaoendesha magari kwa mwendo kasi.pia kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Bw. Zuberi Mwombeji alipo pigiwa sim yake iliita bila kupokelewa
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.