Inasemekana miaka 2500 iliopita Binadamu wakwanza .........
aligundulika akipatikana maeneo ya Africa hasa ktk inchi yaTANZANIA pia mwanadamu huyu aligundua vitu vingi ikiwemo kuwasha moto kwa kutumia miti yaani alitumia vijiti viwili kuspekecha kisha kuleta moto kutokana na msuguano.pia mtu huyu wataalamu hawajatoa jibu sahihi la mtu huyu wakale, kama alikuwa Muafrica ama wa bara lingine.wana Sayansi wanaamini mtu huyo kuwa kuna uwezekano wa 95%mtu huyu alikuwa ni Muafrika. |
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.