Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ..........................................
Serikali yake imesitisha ajira kwa muda wa miezi miwili kupambana na watumishi hewa.pia Rais Magufuli ameomba watu wasione kama niukatili kwa wale ambao wanatarajia kupata ajira,kwani kama serikali inapogundua makosa lazima Inch isimamie tatizo husika
Akiongea na waandishi wa habari wakati akiungana na watanzania katika miaka 50 ya Bank kuu ya Tanzani.amesema serikali yeyote haiwezi kuvumilia kuona watumishi hewa katika serikali yake.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.