August 31, 2016

August 30, 2016

UNATAFUTA FUNDI WASIMU USIHANGAIKE TUONE KARIAKOO MBELE YA KITUO CHA MWENDOKASI ( 0713402770 )




Usihangaike tena utengenezaji wa simu yako kwa matengenezo yetu hakika utaifuraia huduma zetu nikama ifutavyo kuswap,kuflash,protecta, screen, tach, window,repea housing,

tupo mbele ya kituo cha DART (MWENDO KASI) Kwa mawasiliano tupigie kwa  namba 0713402770 karibu tukuhudumie

UNATATIZO LA SIMU YAKO WAONE MAFUNDI BORA KABISA WAPO KARIAKOO PHONE:0713402770

Tupo kariakoo tunatazamana na mlango mkubwa wa wakuingia magari ya MWENDO KASI
karibu tukuhudumie tunatengeneza simu aina zote kwa kutumia COMPUTER

utaona kichochoro kuna bango limeandikwa FUNDI SIMU NA COMPUTER kwa maka peni nyekundu kwamaelekezo zaidi wasiliana na mtu mweusi blog kwa 0624091891 acha kutapeliwa

tupo hapa kukuhudumia

August 26, 2016

Wana Zuoni wa kosoa utendaji wa LHRC Haki za binadam

Wasomi na wana zuoni wamejitokeza na kuiambia LHRC shirika linalo simamia haki za binadamu Nchini kuwa wapo kisiasa katika utendaji wao kusimamia haki za kibinadamu

wanazuoni hao walienda mbali zaidi nakudai wapo kisiasa kwani yanapotokea mambo ya kisiasa hasa kwa upande wa upinzani hawaongei chochote na atimae Serikali inapo fanya jambo baya kidogo huijia juu na kudai inakiuka haki za binadamu

mwanazuoni mmoja jina kapuni alisema hivi karibuni kumetokea matukio mbali mbali ya mauaji ya askari polisi katika vituo hapa nchini, akatoa matukio ya stakishali ukonga, mbagala CRDB bank na juzi tu mbagala congowe wameuliwa askari watatu lakini cha kushangaza LHRC hawaja ongea chochote wakatoa angalizo wafanye kazi kwa maslai ya Watanzania wote

August 20, 2016

SEPTEMBA MOSI NI KUJENGA UKUTA AU KUBOMOA UKUTA


































Wananchi wa mkoani Tabora wameingiwa na hofu baada ya kuona Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU wakifanya mazozi mithili wanajiandaa kwenda vitani askari hao wamekuwa wakipitsa katika mitaa ya mjini hapa wakiwa nasura ngumu

tulipata kuongea na baadhi ya wananchi wa mjini hapa nakupata maelezo yao kuwa wameshangaa kuona askari hao wakiwa katika magari yao na mabendera mekundu lakini wengine walisema wanahisi askari hao wanajiandaa na oparesheni UKUTA ambayo kupitia umoja wa UKAWA imetangaza tarehe moja mwezi wa 9,


kutakuwa na oparesheni UKUTA  Blog hii ilimtafuta kamishina wa jeshi la polisi mkoa wa Tabora ilikutaka kuthibitisha tetesi hizo kama  askari hao wanajiandaa na oparesheni hiyo


August 05, 2016

Mbwana Samatta kazini tena Euroup league

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania na mshambuliaji machachari wa clabu ya KRC GENK
atajitupa uwanjani pamoja na clabu yake kujiakikishia kuingia kwenye makundi kuwania  Euroup league
samatta amekuwa mchezaji mwenye mafanikio makubwa katika soka la hapa nyumbani kwani kujituma kwake kanamfanya aonekane hodari na kumshawishi kocha kumpanga katika kikosi cha kwanza
samatta anakuwa mchezaji wa tanzania aliecheza league ya nchini humo.

KRC GENK itavaana na timu kutoka Ireland Cork city, matokeo ya awali Genk ilishinda nyumbani kwa matokeo ya 1-0

August 02, 2016

SIMBA SPORT CLUB IMEPOTEA AU IMEPATIA KWA MO' DEWJI?

MO" Unaweza kumuita hivyo nikijana wa kitanzania mwenye asili ya India alizaliwa mkoani Singida nakulelewa na wazazi wake mkoani hapa amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi Serikalini ikiwemo Ubunge katika jimbo moja hapa singida

MO" ni bilionea kijana namba moja Africa na nitajiri namba 7 Africa watuwengi wamekuwa wakijiuliza sana juu ya utajiri wake kwani amekuwa na utajiri ambao wa Tanzania hawakutegemea nafasi hii kushikwa na kijana mdogo kama huyu nakuweza kuwabwaga wenzake Bakharesa Mengi, Manji,
 Ndesamburo, na wengine wengi lakini tumeshuhudia katika serikali hii ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais mchapa kazi John Pombe Magufuli inayo sisitiza kulipa kodi

Hivi karibuni tumeshuhudia matajiri wa kubwa hapa Nchini wakibainika kuiibia serikali kwa kuto kulipa kodi baadhi ya watu walitegemea kuona kunagundulika ufisadi mkubwa wakuiibia mapato Serikali kutoka kwa tajiri huyo hakika usilolijuwa sawa na usiku wa giza hakika utajiri wake umekuwa na faida kubwa kwa serikali kwani amekuwa  mlipaji kodi mzuri kwa Serikali

AITAKA SIMBA  ni stori ambazo zilikuwa zimezagaa kwenye mitandao ya kijamii takribani wiki moja sasa  jumapili ya tarehe 31/7/2016 kulifanyika mkutano mkuu wa mwaka wa club ya Simba uliolenga kupitia maendeleo ya club na kujuwa mapato na matumizi kwa mwaka ya club lakini ilipofika kwenye ajenda namba 9 hapo ndipo palimuhusu sana mo" kwani biliponea huyu alitoa tamko kwamba anataka awekeze katika club hiyo wana msimbazi kwa hisa ya asilimia 51% pia mo" alitoa ufafanuzi kuwa atawekeza kiasi cha tsh.bilioni 20 katika club hiyo idadi yawanachama waliohudhuria mkutano huo ni zaidi ya watu 300 na wote walipenda timu yao iendeshwe kwa mtindo wa uwekezaji


Mo" alikuwa yupo nyumbani kwake akiwatuma wanausalama wake wafuatilie mkutano huo lakini kwake alisubiri jambo moja tu kwa wa nachama ndio amwage cheche zake hakika wanachama wa simba wamechoshwa nakuitwa wa matopeni hasa watani wao wa jadi YANGA mkutano uliisha kwa makubaliano ya wanachama kutaka MABADILIKO ndani ya club hiyo Rais wa club ya simba Evance Aveva amekubali mabadiliko hayo yalio pitishwa na wanachama sasa matumaini ya wana simba yameanza kurudi baada hapo jana MO" kutamka kuwa hata usajili unaoendelea viongozi wasimba waende ofisini kwake wakachukuwe mkwanja wanaouhitaji kwa kumalizia usajili uliobakia swali ni hili SIMBA SPORT CLUB IMEPOTEA AU IMEPATIA KWA MO" DEWJI?