Tembelea: Facebook: Mtu Mweusi Gospel Media, Twitter : Mtu Mweusi & You tube: Mtu mweusi Gospel Media
August 20, 2016
SEPTEMBA MOSI NI KUJENGA UKUTA AU KUBOMOA UKUTA
Wananchi wa mkoani Tabora wameingiwa na hofu baada ya kuona Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU wakifanya mazozi mithili wanajiandaa kwenda vitani askari hao wamekuwa wakipitsa katika mitaa ya mjini hapa wakiwa nasura ngumu
tulipata kuongea na baadhi ya wananchi wa mjini hapa nakupata maelezo yao kuwa wameshangaa kuona askari hao wakiwa katika magari yao na mabendera mekundu lakini wengine walisema wanahisi askari hao wanajiandaa na oparesheni UKUTA ambayo kupitia umoja wa UKAWA imetangaza tarehe moja mwezi wa 9,
kutakuwa na oparesheni UKUTA Blog hii ilimtafuta kamishina wa jeshi la polisi mkoa wa Tabora ilikutaka kuthibitisha tetesi hizo kama askari hao wanajiandaa na oparesheni hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.