August 31, 2016

Kanisa la  free pentecostal church of tanzania..........
wanakuletea ratiba ya ibada zao kanisani hapo
Jumatatu ni ibada ya wamama,kuanzia saa4 asubui,  jumatano ni ibada ya Neno la Mungu kuanzia saa 10 jioni hadi saa 12 jioni

Siku ya Ijumaa  nisiku ya maombi na maombezi wagonjwa mbali mbali hupata uponyaji mahali hapa
Jumapili ni ibada kuu kuanzia saa 8:30 asubui pia darasa la watoto lipo kuanzia saa 8;00 asubui

ibada hizi zikiongozwa na Mchungaji kiongozi ndugu SELEVESTER BAKWELA

Ili kufika kanisani hapo nirahisi sana kama utashukia Gongola mboto rudi nyuma kama mita 15 uliza barabara ilioshuka shule ya St. Thomas uliza uwanja wa DENJA au kanisa ambalo lipo kwenye mchanga mwingi

kwa usafiri wa boda boda ni tsh.1000 utakuwa umefika kanisani hapo kwani biblia inasema
kuomba kunawapasa WANYOOFU WA MOYO

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.