Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuanza hapo kesho kwa mujibu wa kamati ya Bunge iliokutana leo. Kamati imeazimia kuandaa Miswada itakayojadiliwa ikiwamo kuapishwa kwa wabunge wapya wa Cuf walioteuliwa na Tume ya uchaguzi Nchini Nec. Kutokana na kuenguliwa kwa wabunge wa awali ambao walikiuka taratibu za chama chao cha Wananchi Cuf.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.