September 13, 2017

RAISI AFUTA HATI YA UMILIKI WA SHAMBA LA HEKARI 715

Rais Magufuli amefuta hati ya umiliki wa shamba la hekari 715 eneo la Kigamboni.  Shamba hilo lililokuwa likimilikiwa na mfanya biashara Yusuph Manji amelifutia kuanzia leo September 13/2017. Waziri wa Ardhi Mh, Lukuvi amesema Rais amefuta kibali hicho katika mwendelezo wa awamu ya 5 ya kuwafutia umiliki wawekezaji wasioyaendeleza mashamba yao

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.