September 05, 2017

MKATABA WA MLIMANI CITY KUFUMULIWA

Mkataba uliosaniwa kati ya Chuo kikuu cha UDSM na mwekezaji wa Mlimana city wagundulika kuwa na kasoro kubwa baada ya ripoti ya mkaguzi wa hesabu za Serikali CAG kugundua kuna ufisadi mkubwa umefanyika katika mkataba huo. Kamati ya bunge ilioketi hapo jana na kuanza kupitia mapendekezo ya CAG na kuona nini kinataka kurekebishwa ili mkataba uwe wa manufaa ya pande zote mbili.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.