February 28, 2018

JE KANISA KATOLIKI KUJIINGIZA KWENYE SIASA NI SAWA?

Kanisa katoliki huko Congo limejiingiza katika maswala ya kisiasa mashirika binafsi nchini Congo yamekuwa yakihoji je ni sahihi kanisa hilo kujiingiza kwenye Siasa?

Baadhi ya vyombo vya habari vilijaribu kuhoji mwongozo wa kanisa hilo unasemaje majibu yalikuwa kama hivi

Kanisa ni moja ya sehemu ya jamii kwahiyo kanisa linahaki ya kusimamia haki za kibinadamu kwani Mungu ametuagiza
Kusimamia haki na upendo hapa duniani.

Kanisa halipo tayari kuona unyanyasaji wa kibinadam ukitokea ukiukwaji wa haki kwani hawa binadamu ndio waimini wetu ukiwanyanyasa hawatapata mda wakumwabudu huyu Mungu

KANISA HALIPASWI KUNADI SIASA?

Ndio Kanisa halistahili na halipaswi kunadi Siasa au mgombea au chama fulani Kama kanisa litajiusisha kisiasa kwa kunadi wagombea itakuwa tofauti na maadili ya Ukristo

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.