February 27, 2018

ZIMBABWE WAOMBA CONDOM KUONGEZWA UKUBWA

Waziri wa Afya nchini Zimbabwe Parirenyatwa amesema kuwa Condom zinazoingizwa nchini hapa kuwa hazina hubora na kuomba makampuni yanayoingiza condom walete bidhaa zenye ubora.Akiongea katika kongamano waziri alienda mbali zaidi na kudai kuwa kuna malalamiko mengi ya wananchi kuwa condom zimekuwa haziwatoshi ni ndogo.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.