February 26, 2018

UMOJA WA MATAIFA WAWARUDISHA WALINDA AMANI

Umoja wa Mtaifa umewarudisha nyumbani walinda Amani 46 wa Ghana huko Sudani kusini kwa tuhuma za kuwanyanyasa wanawake kingono.Akitoa maelekezo hayo Kamanda wa Operation hiyo amesema ni kweli askari hao tumeamua kuwarudisha nyumba wakaendelee na majukumu ya kijeshi kuitumikia nchi baada ya kubainika wamehusika na unyanyasaji wa kingono

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.