February 23, 2018

MWANACHUO WA ( KIU ) ATAMANI KUWA MUHUBIRI

Kutana na mwanachuo wa Kampala University iliopo Gongo la mboto aitwae OBADIA huyu ni mwanachuo anae tamani kuwa Muhubiri akilihubiri neno la Mungu siku zote.Mtu mweusi blog ilipiga stori na Obadia nakuweka wazi hisia zake za kumtumikia Mungu hata kama yupo chuo, unajuwa nini mwandishi mimi nimeanza kupenda huduma ya kumtumikia Mungu nikiwa mdogo sana. Mama yangu alikuwa na bidii ya kunipeleka kanisani na muda mwingi nilikuwa napenda kusikiliza Mchungaji akihubiri.Kunawakati nilikuwa naingiwa na woga kusimama mbele za watu kuhubiri Injili lakini namshukuru Mungu kwasasa hata kuwe na watu milioni niite nitahubiri.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.