March 13, 2018

NJOMBE MADEREVA BAJAJI WAKUTANA NA MKUU WA MKOA

Madereva bajaji mkoani Njombe hatimae wakutana na mkuu wa mkoa Ole Sendeka baada ya Jeshi la Polisi kuwazuia wasifanye ruti katikati ya mji.Mkuu wa mkoa alimaliza mgogoro huo nakusema naomba muendelee kazi zenu kama kawaida kwani kuwakataza hawa sawa nakurudisha makundi ya ukabaji mtaani fanyeni kazi vijana,wakati mkuu wa mkoa akimaliza kukaibuka mikono ya madereva wa boda boda nawao wakitaka kufikisha kero zao.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.