Koo mbili huko nchini Somalia zimetiliana saini ya mikataba ya kukomesha mauwaji ya kulipizana visasi kwa makubaliano ya Atakaeua nae auliwe pia katika mkataba huo wamekubaliana kwa atakae kutwa na htia ya kuua kabla hajauwawa atalipishwa pesa kiasi cha milioni 240 za Somalia.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.